capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Kabisa Bro! Tayari wazee wangu wanaelewa kinachoendelea na wanajua wapi wapate taarifa sahihi juu ya yanayoendelea
Unafki wa TBC hakuna tena home, sijui ndege na ujinga mwingine ni marufuku!
Na hakika hawana kura yao mwaka huu na hata chaguzi za serikali za mitaa hawakushiriki!
Tuikatae ccm kwa vitendo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafki wa TBC hakuna tena home, sijui ndege na ujinga mwingine ni marufuku!
Na hakika hawana kura yao mwaka huu na hata chaguzi za serikali za mitaa hawakushiriki!
Tuikatae ccm kwa vitendo!!
Bro,
Tafuta jimbo ugombee aisee, tunahitaji mindsets tofauti...
Sent using Jamii Forums mobile app