Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
WANASEMA mbuzi kafia kwa muuza supu. Jose Mourinho sasa ana kila sababu ya kupiga hodi ofisini kwa Daniel Levy kuomba asajiliwe straika mpya kwenye dirisha hili la uhamisho wa Januari.
[emoji23][emoji23]Kuumia kwa Kane kulimvuruga Mourinho kiasi cha kumfanya kwenda kuvamia benchi la ufundi la wapinzani wake, Southampton kisha kuchungulia mbinu za wapinzani wake kwenye mchezo huo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ana vituko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706] kabisa, hivi hawa viongozi wana shida gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikatafute nyati wangu nifuge nipate nyama[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23] fuga mama, na hivi nyama yake ni tamu[emoji39]Ngoja nikatafute nyati wangu nifuge nipate nyama[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimepata picha ya king hapo ,mpaka ICU[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1310164
Sent using Jamii Forums mobile app
Sana, halafu yukogo serious, hata afanye vituko kama sio yeye[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamaa ana vituko