moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Sema bro. Mwaka mpya mwema na wenye mafanikio tele kwako na wapendwa wako...na muda ukipatikana tunakutana hapa [emoji1545][emoji1545]S
Bro SYB
Kuumia kwa Kane kulimvuruga Mourinho kiasi cha kumfanya kwenda kuvamia benchi la ufundi la wapinzani wake, Southampton kisha kuchungulia mbinu za wapinzani wake kwenye mchezo huo
Muwe na jioni yenye Baraka tele!
Na kuona nakuona the donI am back...
The Don himuselfu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji123][emoji123][emoji123]
Mungu azidi kuwalinda na kuwabariki kila iitwapo leo.
[emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870][emoji870]
Aisee the don nipe connection basiFursa fursa [emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1311450
Na sie vibonge kwamba tunapeana sana [emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwamba sisi wembamba hatupeani??
Sent using Jamii Forums mobile app