Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Duniani hapa hakuna haki. Wenyewe ndiyo wameiharibu nchi ile eti wanamwondoa "dikteta" na kuleta hii demokrasia yao ya kinafiki isiyozingatia historia wala utamaduni wa watu. Wamepoteza maelfu ya damu ya watu wasio na hatia; na hakuna cha maana walichopata (mafuta yapo ila wanayaona kwenye tivii tu). Naona walishangaa sana ubalozi wao kuvamiwa na waandamanaji mpaka wameamua kufanya hivi kwa kisingizio eti Jenerali huyu anatishia usalama wao huko. Hovyo tu !!!Pumzika Jenerali, ipo siku damu yako italipwaView attachment 1311457
Sent using Jamii Forums mobile app