Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Vipi lakini kwema?Sure sure mkuu.
Tumeuona mwaka.
Vipi lakini kwema?Sure sure mkuu.
Tumeuona mwaka.
Hizo sifa ninazo naomba connection[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Mayai kwa kawaida wana masharti magumu sana. Kwanza upimwe DNA kabisa kama huna magonjwa yo yote ya kurithishana wala ya akili. Itakubidi uwe mrefu na likely mwembamba na features wanazozitaka wao. Halafu wengi wanapendelea kuona vyeti vyako vya shule na hasa umahiri wako katika masomo ya sayansi na muziki. Ukiwa na vyote hivyo basi ni kupiga hela tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahah! Ndio maana naona upande wa hiyo tasnia kumepwaya sana kumbe bado upo chini ya uangalizi tuniliachiwa ila bado nipo internship nahitaji uangalizi maalum kutoka kwa boss Ze Doni
Mlango wa nini tena?[emoji23][emoji23][emoji23]
Soulmate kagoma kufungua mlango[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi vita nitashinda kweli.?[emoji2296] huku shangazi, kule soulmate...5555
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko nilishapitia mwanzoni mwanzoni kabisa nikatoa maelekezo kidogo enzi zile nipo kwenye gemu bado...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]yu kani ritaya ila usisahau kupitia hapa
![]()
Usichukulie poa, nyumba ni choo
UPDATES: ===== Moderator: Hii thread Imefungwa kwa sababu Sheria za Tanzania na Kanuni Mpya za Maudhui 2020, haziruhusu Mijadala kama hii. Asante Hii thread ni vyura kwenda mbele tu wazee kina Behaviourist, Mrangi na TIASSA tukutane hapa. Tujitahidini iwe clean no nudity!www.jamiiforums.com
#rudi nyumbani kumenoga
[emoji38][emoji38][emoji38] i can see[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I tell no lies[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
#napendaprivatethingzz
Sent using Jamii Forums mobile app
Afadhali jamani, afunge na vioo kabisa[emoji41][emoji23][emoji23][emoji23]
Soulmate kagoma kufungua mlango[emoji24][emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu......Huko nilishapitia mwanzoni mwanzoni kabisa nikatoa maelekezo kidogo enzi zile nipo kwenye gemu bado...[emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1311497
Kwema kabisa tunashukuru[emoji23][emoji23][emoji23] Ile kampeni kumbe bado ipo?
Kwema sana, umeshindaje wewe?
Haya shemeji haina neno. Ila tu usije ukanogewa na dolar ukafikiria kuuza mpaka moyo...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mlango wa nini tena?
Jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa nilipofikia hata skin nauza shem[emoji23][emoji23]Haya shemeji haina neno. Ila tu usije ukanogewa na dolar ukafikiria kuuza mpaka moyo...
#SoulmateWakoAtatesekaSana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] You something else babe, nimecheka sana leo