Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pumzika Jenerali, ipo siku damu yako italipwaView attachment 1311457

Sent using Jamii Forums mobile app
Duniani hapa hakuna haki. Wenyewe ndiyo wameiharibu nchi ile eti wanamwondoa "dikteta" na kuleta hii demokrasia yao ya kinafiki isiyozingatia historia wala utamaduni wa watu. Wamepoteza maelfu ya damu ya watu wasio na hatia; na hakuna cha maana walichopata (mafuta yapo ila wanayaona kwenye tivii tu). Naona walishangaa sana ubalozi wao kuvamiwa na waandamanaji mpaka wameamua kufanya hivi kwa kisingizio eti Jenerali huyu anatishia usalama wao huko. Hovyo tu !!!
 
Amina bro [emoji2969]...

Na dua hiyo njema iwe juu yako pia

#Karibusana
Amen bro [emoji16][emoji16][emoji16]

Nimekuta harakati zako zinaendelea. Mara mkururo wa namba 55555. Mara shangazi. Mara soulmate. Mara fulu kuchomwa chomwa...Sielewi cho chote ila safi sana bro [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
 
Mayai na mkojo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mayai kwa kawaida wana masharti magumu sana. Kwanza upimwe DNA kabisa kama huna magonjwa yo yote ya kurithishana wala ya akili. Itakubidi uwe mrefu na likely mwembamba na features wanazozitaka wao. Halafu wengi wanapendelea kuona vyeti vyako vya shule na hasa umahiri wako katika masomo ya sayansi na muziki. Ukiwa na vyote hivyo basi ni kupiga hela tu kwa kweli [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Amen bro [emoji16][emoji16][emoji16]

Nimekuta harakati zako zinaendelea. Mara mkururo wa namba 55555. Mara shangazi. Mara soulmate. Mara fulu kuchomwa chomwa...Sielewi cho chote ila safi sana bro [emoji1547][emoji1547][emoji1547]
😂😂😂😂😂. Bro Don himself

Mambo ni mengi toka mwaka uanze ila ni swala la wewe kushinda hapa siku moja tu ili uweze kwenda sawa na hii kasi ya 2020
 
Duuh, nshafeli [emoji134][emoji134][emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Bro Don himself

Mambo ni mengi toka mwaka uanze ila ni swala la wewe kushinda hapa siku moja tu ili uweze kwenda sawa na hii kasi ya 2020
Nitajitahidi. Ila inavyoonekana itabidi nitafute twisheni kabisa. Nimeachia cheo cha uzee wa mizigo itabidi na cheo cha utunza kumbukumbu nikiachie kama spidi yenyewe ndiyo hii.
 
Grand Ayatollah mikwara kibao. Ngoja tuone sasa if he will walk the walk after talking the talk. Na hii vita imekaa vizuri sana kwa Trump kwa sababu itakuwa na faida kubwa kwake kisiasa hasa ikienda vizuri. Na kauli mbiu hii ya kwamba "tunapambana na magaidi huko waliko ili siku moja tusije kupambana nao katika mitaa ya New York" inasikilizika vizuri sana kwa Wamarekani wengi. It will be either go big or go home....
 
Nitajitahidi. Ila inavyoonekana itabidi nitafute twisheni kabisa. Nimeachia cheo cha uzee wa mizigo itabidi na cheo cha utunza kumbukumbu nikiachie kama spidi yenyewe ndiyo hii.
Kitambo upo bench ndio maana mchezo huuelewi ila kwakua usharudi ground hakika utaichezesha timu vyema kama Messi....

#Kumbukumbuhakunawakutunza
#Mizigoumeachiamawakihawatupitenamadini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…