Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Acha hizo...Kwa nilipofikia hata skin nauza shem[emoji23][emoji23]
#soulmatenamuachiashangaziwamisumari
Sent using Jamii Forums mobile app
Safii
[emoji23][emoji23][emoji23]Grand Ayatollah mikwara kibao. Ngoja tuone sasa if he will walk the walk after talking the talk. Na hii vita imekaa vizuri sana kwa Trump kwa sababu itakuwa na faida kubwa kwake kisiasa hasa ikienda vizuri. Na kauli mbiu hii ya kwamba "tunapambana na magaidi huko waliko ili siku moja tusije kupambana nao katika mitaa ya New York" inasikilizika vizuri sana kwa Wamarekani wengi. It will either go big or go home....
[emoji42][emoji99][emoji42][emoji99]
Ndo mnaenda kwenye kikao.? [emoji23][emoji849]Alamsiki
[emoji847][emoji847][emoji847][emoji8][emoji8][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] You something else babe, nimecheka sana leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo magumu shem[emoji23][emoji23]Acha hizo...
Mwaka mpya na code mpya. Sielewi cho chote yaani. Ai givapu [emoji16][emoji16][emoji16]
Duh!! Mpaka kuleee....
The flag of General Soleimani in defense of the country's territorial integrity and the fight against terrorism and extremism in the region will be raised, and the path of resistance to US excesses will continue. The great nation of Iran will take revenge for this heinous crime.Grand Ayatollah mikwara kibao. Ngoja tuone sasa if he will walk the walk after talking the talk. Na hii vita imekaa vizuri sana kwa Trump kwa sababu itakuwa na faida kubwa kwake kisiasa hasa ikienda vizuri. Na kauli mbiu hii ya kwamba "tunapambana na magaidi huko waliko ili siku moja tusije kupambana nao katika mitaa ya New York" inasikilizika vizuri sana kwa Wamarekani wengi. It will either go big or go home....
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]