Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Niliamua kupika chakula kibaya ili ujifunze kuwa, chakula kikishakua kibaya hata kama ukikiweka kwenye friji miaka kumi hakiwezi kubadilika, kitaendelea kuwa kibaya tu. Hivyo hivyo sisi wanaume, kama mwanaume ni mshenzi basi ni ngumu sana kubadilika, usiingie kwenye ndoa ukidhani kuwa atabadilika kwani asipobadilika basi ni mtu ambaye utaishi naye milele na kama ukichoka utamuacha kama Baba yako alivyotupa chakula lakini utakua ushapoteza muda wako. Hembu muangalie Mama yako, muulize kaolewa lini? Ndoa yake ina miaka 30 sasa muulize ni mara ngapi wamekuja kuomba suluhu lakini Baba yako bado anampiga na uzee huu! Muulize kama ameshawahi kuwa na furaha au amezoea tu matatizo? Yeye alishafanya makosa hayawezi kurekebishika lakini wewe bado una nafasi, acha kununua chakula kibovu ukaweka kwenye friji ukijipa moyo kitabadilika na kua kiziuri, hakuna kitu mjukuu wangu kitapoa lakini hakitabadilika, muulize Mama yako kama kimebadilika?” NOTE; Wanawake wengi wanaolia kwenye ndoa leo waliyaona mateso kipindi cha uchumba na kujiambia ‘Atabadilika’.
 
Back
Top Bottom