Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Leo Simba maumivuuuu !!!
Kila la kheri timu ya wananchi..
Heshima yako bro..karbu tena na pole na majukumu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dahUmemaliza kula zako mtori na chapati mbili kijasho kinakutoka unasubiri mhudumu akuletee maji makubwa, mara askari polisi anaku-arrest kwa sababu unaonekana una dalili za kutaka kujinyonga [emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app