Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Shemu hebu nimegee pulizi. Hii code maana yake nini? Nimerudi nikaikuta inatamba balaa humu na muda wa kuifuatilia sawasawa sina.
Shemu hebu nimegee pulizi. Hii code maana yake nini? Nimerudi nikaikuta inatamba balaa humu na muda wa kuifuatilia sawasawa sina.
Kwa niaba yake.Shemu hebu nimegee pulizi. Hii code maana yake nini? Nimerudi nikaikuta inatamba balaa humu na muda wa kuifuatilia sawasawa sina.
Thenkisi e loti. Nimehangaika muda mrefu kumbe code simpo kabisa.Kwa niaba yake.
Coco aliweka kuwa kule sijui wapi 5 means ha
Bradha akatype 55555 means hahahaha(kicheko)
In Thailand 'ha' means 5...kwa hyo hahaha ni sawa na kuandika 555555Thenkisi e loti. Nimehangaika muda mrefu kumbe code simpo kabisa.
Wabeja bageshi ntogwa [emoji1545][emoji1545]