Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Mohamed Hussein umetuinua kwa kiasi flani
Hebu katafute ada kwanza😀😀[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#nimesikialeozamuyakonajr
#polenamajukumu
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kuongezea ufafanuzi bro...In Thailand 'ha' means 5...kwa hyo hahaha ni sawa na kuandika 555555
Afadhali tumepona na makelele ya mashabiki wa Simba. Nilimuona Manara anachimba mkwara kuwa Yanga hata kutoka sare leo itakuwa mojawapo ya maajabu makubwa sana ya mwaka huu...Fulltime 2-2
Hii code ni sawa na emoji ya kucheka shemShemu hebu nimegee pulizi. Hii code maana yake nini? Nimerudi nikaikuta inatamba balaa humu na muda wa kuifuatilia sawasawa sina.
555555Hebu katafute ada kwanza[emoji3][emoji3]
#badoWiki2WafungueShule[emoji3]
Navy kenzo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Couples that stick together for 5+years, Whats the name of the glue you use..
[emoji22][emoji22][emoji22]