myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😂😂😂😂Huku hakunanga Bro code [emoji23][emoji23] Dem yako akilegea legea beste yako anamkula tu halafu anasema hakujua mna date [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂Huku hakunanga Bro code [emoji23][emoji23] Dem yako akilegea legea beste yako anamkula tu halafu anasema hakujua mna date [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂Mohamed Hussein umetuinua kwa kiasi flani
Leo ingekua shida kwa washabiki wa Yanga...Afadhali tumepona na makelele ya mashabiki wa Simba. Nilimuona Manara anachimba mkwara kuwa Yanga hata kutoka sare leo itakuwa mojawapo ya maajabu makubwa sana ya mwaka huu...
Nikuulize kitu bro. Ulishaweza kubadili pasipoti yako ya sasa na kupata hizi za kisasa za kidijitali? Kama uliweza, ulifanyia hapo ubalozini au ilibidi uende nyumbani? Huku kwetu tuna ubalozi bomu yaani wanafanya kazi hata Bongo wana unafuu.
Nilifanya hapahapa! Bongo ku-renew ni sawa na kuanza upyaa. Yaani ni kama una apply upya.Nikuulize kitu bro. Ulishaweza kubadili pasipoti yako ya sasa na kupata hizi za kisasa za kidijitali? Kama uliweza, ulifanyia hapo ubalozini au ilibidi uende nyumbani? Huku kwetu tuna ubalozi bomu yaani wanafanya kazi hata Bongo wana unafuu.
Moud angetesa sana. Tumepona [emoji1734][emoji1734][emoji1734]Leo ingekua shida kwa washabiki wa Yanga...
Nyie mna bahati. Huku kwetu hata ukipiga simu ubalozini hakuna anayejibu...
Cheo chako kipya unakitendea haki [emoji1547][emoji1547][emoji1547][emoji1547]
Nyie mna bahati. Huku kwetu hata ukipiga simu ubalozini hakuna anayejibu...
Bongo nimerenew pasipoti zaidi ya mara tano na kila mara inabidi uanze upya - kero tupu yaani...utafikiri info zako zote hawana.