Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
kama sijakosea nafkiri hii movie imetokana na Novel ya Dracula ya mwandishi Bram StokerHata mm nmeshangaa kuskia season1 imeishia hapo kwamba ni mini series
💸💴💵💸a small price to pay for salvation
Muda mwingine inatakiwa hiyo broKalipiza ubaya kwa ubaya 😀😀
Hapana bro. Shimba ngosha maana yake Simba Dume. Atakuwa anatoka kule kule kanda pendwa [emoji116][emoji116][emoji116]Bro kuna raia anajiita shimba ngosha humu ni ndugu yako?