Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Meneja wa Wolves Nuno Santo ametupilia mbali mpango wa kumuuza beki wa kiitaliano Patrick Cutrone mwenye Miaka 22.(Football Insider)
Kama walioendelea na wenye mavifaa ya zimamoto ya kila aina yanawashinda sisi sijui itakuwaje. Climate change is real japo Marekani ambao ndiyo waharibifu nambari wani hawataki kuchukua hatua zo zote.Hatari sana, haya mambo kuna siku yatahamia Africa.
#MunguAtuepushe
Is it well with your soul my dear sis?![]()
"It is Well with my Soul", tungo iliyobeba ujumbe mzito katika maisha ya binadamu
Miaka mingi imepita na siku nazo kusonga tangu Familia ya Mr Spafford aliyeishi huko Chicago Marekani kupatwa na dhoruba na mtikisiko mkubwa na huzuni kuu isiyo na kifani. Mr Spafford alikuwa Msomi tena mwanasheria mashuhuri wa aina yake huko Chicago America ambaye kwake yeye Utajiri haukucheza...www.jamiiforums.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Na leo mmeshinda. Yaani dah ![emoji24][emoji24][emoji24]Twenti twenti
Moto Ni uleule
Siwoki aloni..natembea na liva[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha mlipendeza
Customer is king ...Always [emoji16][emoji16][emoji16]
It is well with my soul Bro.....shikamoo kaka anguIs it well with your soul my dear sis?