Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wapi SHIMBA YA BUYENZE
Wapi mambo Yale ya mwaka mpya....
Hiyo idara ameshachukua mfilisti jirani. Anajaribu jaribu sometimes ila kwa kweli bado. Inabidi afokasi zaidi na awe komitedi na kazi yake [emoji16][emoji16]
2.21040993286748518E18.jpeg
 
Hebu acha kujipendekeza sehem ambayo hustahil kuililia.
2020
Sio mwaka wa kulazimisha kupendwa
Sio mwaka wa kulilia mapenz
Sio mwaka wa kumuabudu mtu
Smda
Sio mwaka wa kupotezeana mda
Sio mwaka wa kubembelezana
Sio mwaka wa kuvumilia ujinga
Sio mwaka wa kuvumilia maumivu
Sio mwaka wa kulilia ndoa
Sio mwaka wa kulilia Mali za mtu
 
Huu ni MWAKA wa
Kutafuta na kufanya kazi
Kutafuta pesa
Kujiwekeza
Kumuheshimu anae kuheshimu
Kumpenda anae kupenda
Kumpigia anae kupigia.
Kumjibu msg anae kutumia
Kumthamin anae kuthamin
Kumuamin anae kuamin
Kumuelewa anae kuelewa
Kumvumilia anae kuelewa
 
Achana na mpenz mzigo wa 2019 na usitumie kauli ya BADO NAMPENDA maana unajidanganya. Kwa sababu utaendeleaje mpenda mtu ambae
Amekusaliti Mara kadhaa
Umejua amesha oa au kuolewa baada ya kuku acha wewe
Anawasiliana na wewe anapo jisikia
Amekutamkia waz kuwa hakutak
Acha mapenz ya VIdeo kujifanya we KAJOL na SHARKHAN wa India au REMEO na JULLIETE
Ukiona dalili za kuachwa basi ACHIKA.acha kusema kapitiwa na shetan atabadilika tu..... Ndugu yangu mfanye atambue kuwa kuna watu bora zaid yake wanasubir uachane nae kisha wao waanzishe maisha nawe ya ndoa...
Achilia ulipo shikilia kama hapana furaha na Amani.
Sio dhambi kumuacha kama tabia zake zimekuchosha
Leo umeumizwa
Kesho utampata mtu ambae nae anaogopa kuumizwa na mutadumu kwa upendo na furaha.
Anza mwaka bila STRESS za mtu uliye kutana nae ukubwan,yupo mbali au Karibu
Kuwa na Msimamo
Sio kuburuzwa tu
BADO NAIMANI ya KUPATA KILICHO bora kwa 2020
 
Back
Top Bottom