myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
SawasawaMpende sana mwanamke wa aina hiyo, muda mwingine aweza kuwa anakufuatilia sana mpaka unajiuliza nina 'date' na shushushu ama nini? Ila unapaswa kutambua kuwa anakupenda kwa dhati na anataka ajihakikishie kuwa yupo peke yake kwako.
kweli jirani...Mwanamke akikupenda kweli kutoka moyoni mwake atahitaji awe na wewe muda mwingi, atakutext mara kwa mara, atakupigia simu every time when she feels she wants to talk to you.
✔✔✔[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1313421
Sent using Jamii Forums mobile app
Liverpool wako vizuri...jamaa ana raha sana
Asante Leo umemsaidia moud kuweka mapicha[emoji3526][emoji3526][emoji3526]
ha ha viatu vikubwa sana hivi kwanguHiyo idara ameshachukua mfilisti jirani. Anajaribu jaribu sometimes ila kwa kweli bado. Inabidi afokasi zaidi na awe komitedi na kazi yake [emoji16][emoji16]
View attachment 1313411
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Na leo mmeshinda. Yaani dah ![emoji24][emoji24][emoji24]
Leo nimetinga full yellow Bila kijani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaha mlipendeza
😂😂😂ha ha viatu vikubwa sana hivi kwangu