Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Is it well with your soul my dear sis?
 
Kugundua tabia mbaya za mpenzi wako ambazo kwa njia moja au nyengine alikuwa akizificha mfano ulevi, kudate na mtu muda mchache tu baada ya kununiana naye, nk hii ina maana kuwa hukuwa na mtu sahihi katika maisha yako.
 
Husaidia kupunguza migogoro: Muda mnapokua mumenuniana ikiwa kweli mlikuwa mkipendana kila mmoja hutamani asemeshwe na mwenzake atafanya kila jitihada ili ugomvi usiongozeke ni tofauti na mnapokuwa hamkupendana mtatamani iwe ndio Good bye.
 
Kufahamu aina ya marafiki ulionao: Marafiki ni njenzo nzuri katika maisha ya mahusiano lakini marafiki ni sumu katika maisha ya mahusiano. Hivyo utakapokuwa na furaha huwezi kumjua yupi mwema yupi mbaya kwako ila unapokuwa na tatizo utamjua yupi mbaya yupi mwema kwako.
 
Kubaini aina ya penzi alilonalo mpenzi wako: Kama mpenzi wako atakuwa mwenye kukutafuta eidha kwa kukupigia simu au SMS japo tu kwa kujua hali yako tu bila ya kujali kununa kwako au kosa ulilomfanyia, huyo ndio mpenzi wa kweli mwenye mapenzi ya dhati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…