Mfilisti
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 3,729
- 19,466
bro kumbe na wewe unafuatilia vitu vizuriRest in peace Dre
Yellow ya leo siyo kabisa..Bila kapicha haya maneno ni batili
Hatari sana bro.Kama walioendelea na wenye mavifaa ya zimamoto ya kila aina yanawashinda sisi sijui itakuwaje. Climate change is real japo Marekani ambao ndiyo waharibifu nambari wani hawataki kuchukua hatua zo zote.
Jana nimemwona tausi😀😀Yellow ya leo siyo kabisa..
Nilikuwa Kama mzimu[emoji23][emoji23]..nilijaribu kupiga picha zikaungua maana yellow ilikuwa inang'aa mno
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio bro, naifatilia,, hii kitu ipo vizuri sanabro kumbe na wewe unafuatilia vitu vizuri
Kwema bro.. ha ha ha aiseeKwema mzee, vipi za night?
mbaya zaidi hii ndo final seasonNdio bro, naifatilia,, hii kitu ipo vizuri sana
[emoji23][emoji23][emoji23] aisee,kwa hyo leo tumebaniwa misumariYellow ya leo siyo kabisa..
Nilikuwa Kama mzimu[emoji23][emoji23]..nilijaribu kupiga picha zikaungua maana yellow ilikuwa inang'aa mno
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2] umesahau na ile misumariJana nimemwona tausi[emoji3][emoji3]
Vipi leo hamuendi kupiga misele mitaa yenu ile?Kwema bro.. ha ha ha aisee
Jana nimemwona tausi[emoji3][emoji3]
Too bad kwa kweli..ila jamaa anaandaa kitu kingine tenambaya zaidi hii ndo final season
Member mmoja akifungua uzi mara 10 inahesabika 10 viewers....Kutokana na Forum Statistics Jamii Forums ina registered members 523,827 tu.
Swali langu ni hili kwenye huu uzi kuna views 13M, Je hawa viewers wametokea wapi ikiwa kuna registered 523,827
naomba majibu
cc. Invisible
Maxence Melo
Paw
pengine viewers wa huu mtandao wanahesabiwa kama youtube...Kutokana na Forum Statistics Jamii Forums ina registered members 523,827 tu.
Swali langu ni hili kwenye huu uzi kuna views 13M, Je hawa viewers wametokea wapi ikiwa kuna registered 523,827
naomba majibu
cc. Invisible
Maxence Melo
Paw
Embu ngoja niende kukagua tena 😁[emoji2][emoji2][emoji2] umesahau na ile misumari
Nakuona Popo mida yako imefikaJana nimemwona tausi😀😀