Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hicho kiporo hakina mpinzani...ukikitandika sawasawa halafu unakwenda kuchunga yaani ni full kusinzia tu....
Hicho kiporo hakina mpinzani...ukikitandika sawasawa halafu unakwenda kuchunga yaani ni full kusinzia tu....
Ni yale mambo yetu ya "if he dies he dies" ama? RIP Bilionea Msangi .
Eti unaitikia haswaa kama vile ulishawahi kuchunga [emoji16][emoji16][emoji16]
Enzi hiyo....Maandaeitini wengi katika uzi huu walikuwa hawajazaliwa wakati Mrema anatikisa nchi...
View attachment 1313701
🤣 🤣 Hapo kampeni zikiisha humuoni tena..Mkinipa kura zenu nitawaletea mvua...
View attachment 1313709
Sijawahi kuchunga kwa kuwa sitokei kwenye jamii ya wafugaji, ningekuwa natokea huko ningechunga. Hata hivyo ulivyotaja kuchunga nimejiweka na mimi kwenye shughuli ambayo huwa nafanya nikishakula kiporo, naweka jembe shambani naenda kulimaEti unaitikia haswaa kama vile ulishawahi kuchunga [emoji16][emoji16][emoji16]
Hii ni aina ya pombe?Applying vodka on your face cleanses the skin, tightens pores and can prevent acne breakouts.
Sent using Jamii Forums mobile app