Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila anaefuta comments akianza kutembeza ban wakishua huponi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sema dogo ana kiherehere mno
Basi muda wote naangalia ile sms maarufu

Oopsss we ran into some problems. You have been banned for the following reanson kumuita diamond wangu domo

Kile kijamaa mtaan kwake wana kazi mno itakua anawaripoti balaa
 
Hahaha me Mara ya kwanza nilikutaga kosa kuharibu mjadala nikala ya siku 4 kama sio 5

Kosa lako we ni kuharibu jina la celebrity. Anarepot mpaka ambavyo haviitajiki kuwa reported
 
Hahahaa yule kijana ana ka uchizi kila kitu anarepoti

Aah nao walikuonea humu mjadala unaisha ndani ya comment tatu kisha story zinafuatia
Hahaha me Mara ya kwanza nilikutaga kosa kuharibu mjadala nikala ya siku 4 kama sio 5

Kosa lako we ni kuharibu jina la celebrity. Anarepot mpaka ambavyo haviitajiki kuwa reported
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…