Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]
Watoto bado wako macho

Baharia akitoka hapo atakwambia alipiga mechi ya nguvu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Baharia kaelemewa na tunda la kimasikhara. Au labda afya mgogoro...au ni mwanaume wa Dar [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
Aiseeh!

Zamani nilikuwa najua ukiwa na umri mkubwa unakuwa na busara sana.
Baba ndo anaongea maneno kama haya,daah!
Smh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niko na upako shem[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye uzi huu upako huwa haudumu...labda siku hizi kwa kuwa uzi umepwaya. Enzi zile za injini tokotokototooo mara kimdabuo mara fenesi aaa wapi...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…