Dogo yuko hoi huku demu akionyesha bado yuko fiti kinoma kama vile kaparazwa tu.If he dies he dies [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1314050
Kutengenezea chachanduZina matumizi gani?
Lishe bora muhimu sana kwenye hizi mambo. Yaani jamaa mpaka anatia huruma kabisa. Ila usishangae naye ukamkuta kwenye uzi wa mabaharia kule akijinadi jinsi alivyokula tunda kimasikhara na kutoa dozi ya karne [emoji16][emoji16][emoji16]Dogo yuko hoi huku demu akionyesha bado yuko fiti kinoma kama vile kaparazwa tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Binuru
Let's hope so [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Sijui kapotelea wapi huyu ndugu yetu. Hope all is well huko alipo
Sent using Jamii Forums mobile app
AiseeIf he dies he dies [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1314050
Yani nipewe ban afu nyie mpone? Tungelimwa woteeNilifikiri umelimwa ban kwenye uzi wa kijana mtanashati [emoji16][emoji16][emoji16]
Muwage na huruma sometimes [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Aisee
Kkkkkkkkkkkk.Lishe bora muhimu sana kwenye hizi mambo. Yaani jamaa mpaka anatia huruma kabisa. Ila usishangae naye ukamkuta kwenye uzi wa mabaharia kule akijinadi jinsi alivyokula tunda kimasikhara na kutoa dozi ya karne [emoji16][emoji16][emoji16]
Kwenye ban hakuna fomyula. Hata sasa subiri tu mods si ajabu wanakusanya nguvu...Na si ajabu hujawahi kulimwa ban hata mara moja...Yani nipewe ban afu nyie mpone? Tungelimwa wotee
Mtani yaani wewe ndio unanisema hivi๐๐๐[emoji23][emoji23][emoji23]
#rangiyafedha
#ndomanawatuwanaendabusisi
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahah, haya bwana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#nimeongeanamwlmkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwaka mpya na avatar mpyaMtani yaani wewe ndio unanisema hivi๐๐๐