Huyo huyo davincwewe ni nani?
huu muandiko nina wasi wasi nao na genius leonardo....
Marahabaa dogoDepal & Numbisa Nawasalimu..
...Kuunganisha...Yaani[emoji3][emoji3]
Utasikia nimepiga mabao 9 ya kuunganisha
Kuunganisha mchezo,shuaini zao[emoji706][emoji706]
Sent using Jamii Forums mobile app
he he he heeeeee.....Huyo huyo davinc
Marahabaa, hujambo?Depal & Numbisa Nawasalimu..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]he he he heeeeee.....
alinipa heshima ya raisi wa avatar basi yeye atakuwa ni raisi wa username kuanzia sasa.
davinci
denvers
hili jina jipya hata sijui linatamkwaje..... sijui fakistani au pakistani
atajua mwenyewe
Mtoto mwenye nywele zake nzuri nzuriNakuachaje kwa mfano..mtoto mzuri
Wouzerhe he he heeeeee.....
alinipa heshima ya raisi wa avatar basi yeye atakuwa ni raisi wa username kuanzia sasa.
davinci
denvers
hili jina jipya hata sijui linatamkwaje..... sijui fakistani au pakistani
atajua mwenyewe
Jina gumu 😀😀😀he he he heeeeee.....
alinipa heshima ya raisi wa avatar basi yeye atakuwa ni raisi wa username kuanzia sasa.
davinci
denvers
hili jina jipya hata sijui linatamkwaje..... sijui fakistani au pakistani
atajua mwenyewe
Is He.wewe ni nani?
huu muandiko nina wasi wasi nao na genius leonardo....
Hilo ni jina la character mmoja kwenye Novel anaitwa Victor Frankensteinhe he he heeeeee.....
alinipa heshima ya raisi wa avatar basi yeye atakuwa ni raisi wa username kuanzia sasa.
davinci
denvers
hili jina jipya hata sijui linatamkwaje..... sijui fakistani au pakistani
atajua mwenyewe
mwaka mpya bila ya kuwa na mikakati imara ya kukusogeza mbele kimaisha ni sawa sawa na kuwa na kichwa kikubwa bila ya nywele za asili...Wouzer
Happy new year.... Ya kaisari mwachie kaisari
Marahaba miss chuga..Mtoto mwenye nywele zake nzuri nzuri
jamaa ni mjerumaniJina gumu 😀😀😀
Kwa kweli mimi nitakuita Frank hizi herufi nyingine punguza mpendwaIs He.
🙂🙂 🙂 🙂 🙂
Shikamoo yangu inaongeza Vitamin gani..Marahabaa dogo
Hapana mpendwa ni Mchina.jamaa ni mjerumani