Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,444
- 110,233
Kheri ya mwaka mpya mpendwa.Mwaka mpya na avatar mpya
Amani mkuu, hbr ya huko?Bradha na mkokaa nawapa hai...
Salama.Valah Morghulis night watcherAmani mkuu, hbr ya huko?
Shwari mkuu...heri ya mwaka.SYB na Myoyambendi.. Wats Up bros..
Bizee mpendwa kupeleka wapendwa shule nipo salamaKheri ya mwaka mpya mpendwa.
Kama vile sijakusikia mda mrefu kweli!!
Shida ni kwamba anayekupenda humpendi, unayempenda anakuona kama katuni mradi vurugu tu[emoji16][emoji16]Kabisaa [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1314289
We are here bro. I hope all is well with you [emoji1545][emoji1545][emoji1545]SYB na Myoyambendi.. Wats Up bros..
SafiHawachi..nakusalimu
Siamini eti mimi sijasalimiwa aisee[emoji16][emoji16]Salama.Valah Morghulis night watcher
Nakuachaje kwa mfano..mtoto mzuri
Inauma sana haya mambo. Hasa upande wenu huko mwisho wa siku unaolewa na jamaa ambaye wala humpendi kivile. Kimbembe sasa siku ukikutana na huyu unayempenda kikweli ndo mambo yanaanza kuharibikia hapo....Shida ni kwamba anayekupenda humpendi, unayempenda anakuona kama katuni mradi vurugu tu[emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe ni nani?Daemusin heri ya mwaka mpya kiongozi wangu
Ni shida, na inasemekana wanawake wengi wanaolewa wa wanaume wasiowapendaInauma sana haya mambo. Hasa upande wenu huko mwisho wa siku unaolewa na jamaa ambaye wala humpendi kivile. Kimbembe sasa siku ukikutana na huyu unayempenda kikweli ndo mambo yanaanza kuharibikia hapo....