D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
kuna mchina anayeitwa frankii...Hapana mpendwa ni Mchina.
Niite Vinci inatosha.. muda sio mrefu namrudishaKwa kweli mimi nitakuita Frank hizi herufi nyingine punguza mpendwa
Vitamin GShikamoo yangu inaongeza Vitamin gani..
hao moderator hawachoshwi na pm zako?Niite Vinci inatosha.. muda sio mrefu namrudisha
Frank nimefupisha mpendwakuna mchina anayeitwa frankii...
Kama mimi ndie jehao moderator hawachoshwi na pm zako?
Naomba aniombee na mimi nibadili kutoka Hawachi kwenda....hao moderator hawachoshwi na pm zako?
Itakua vitamin maparage/manumbuVitamin G
Hujawai ona nywele zake kwa selfika kule π dogo ana nywele nzuri kinyama
Manumbu π€Itakua vitamin maparage/manumbu
π£π£π£π£π£Hujawai ona nywele zake kwa selfika kule π dogo ana nywele nzuri kinyama
Very deliciousManumbu π€
sina cha kuongeza kama wewe ndiye miongoni mwaoKama mimi ndie je
CHIWAHANaomba aniombee na mimi nibadili kutoka Hawachi kwenda....
πππππ yaan wewemwaka mpya bila ya kuwa na mikakati imara ya kukusogeza mbele kimaisha ni sawa sawa na kuwa na kichwa kikubwa bila ya nywele za asili...
na wewe happy new year....
Ndio manini aseeVery delicious
Duh kumbe huwa anapost nywele?Hujawai ona nywele zake kwa selfika kule [emoji41] dogo ana nywele nzuri kinyama
Hapana hizo herufi hazitakuwepo kwenye Jina jipya mpendwa πππCHIWAHA
poa sana bro, vipi huko ulikoMfilisti na Qwy habari...
Nishapata Mara moja, nilipigwa alhamisi asubuhi nikaja kutolewa jumatatu 6 usikuKwenye ban hakuna fomyula. Hata sasa subiri tu mods si ajabu wanakusanya nguvu...Na si ajabu hujawahi kulimwa ban hata mara moja...