Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG_20200106_195236.jpg
 
Maviazi yaliyopikwa yakaanikwa juani..
Kwani shosti wako hajakuambia siri ya jina Numbisa.?
Nimempikia sana alipokua mtoto huko simiyu
Jamani 😂😂😂 yani viazi vimepikwa tena mnavianika? Najua ile ya kuvianika vikiwa vibichi na vinakatwa kwa mtindo wa crisps ila sijui vinaitwaje
Numbisa wakishua huyo
 
ha ha ha leo wamekuchanganyia ugoro kwenye urojo wako?
nipo hapa takribani masaa mawili cha kushangaza nimeshuhudia picha moja tu ya big booty....
hard drive yako ina ukubwa wa 1MB?

kuhusu urojo huku niliko kijijini mbatata zimeadimika sana...
hata chipsi zimekuwa adimu sembuse urojo?
inaonekana huko bara hizi sherehe za krismasi na mwaka mpya mulikuwa munakula sana chipsi....
zenji imefika nyakati kg 1 ya mbatata ni 1800 -2000
 
ha ha ha hard Drive iliibiwa na wale jamaa ambao wameiba mashine za NIDA mpaka nikusanye tena mizigo upya
 
Back
Top Bottom