Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

facbef53-d1f5-44d2-a78c-58135c5a1370.jpeg
 
ebwana weee
bayern munich wamemsajili golikipa namba 1 wa schalke 04 kwa free transfer ambaye pia ni mjerumani
anaitwa Alexander Nübel na anatarajiwa kujiunga na bayern mnamo mwezi JuLY..
inasemekana uongozi wa bayern na bwana mdogo wamekubaliana ya kwamba alexander apewe uhakika wa kucheza mechi 15 msimu ujao...

je manuel atakubali kuwekwa benchi?
je manuel atasaini mkataba mpya?
manuel zama zake zimekwisha ikiwa ndio kwanza ana miaka 33?

manuel neuer amesikika akisema:
"I didn't move to a team where I would possibly be the No. 2," said Neuer on Monday. "I always wanted to play, especially when I was young. That was my decision. Early on, had I been second choice, I had the option to move to another club. I didn't do that. Alex Nübel is starting for Schalke and he is a good goalkeeper. I don't know if I would have made the same decision."
1578341358634.png
 
Amen bro. Huwa tunasahaulika kirahisi. Our babies need us...Jukumu takatifu mno [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1314362
Ni kweli kabsa bro, ni jukumu letu kuwafanya wajisikia furaha na aman pia, wasijutie kuja duniani...

Eeh Mungu, tuongoze kwenye hili kwan dunia ya leo sio ya jana na inaenda kasi sana. [emoji120]
 
The first-ever Israeli wedding of Ugandan Jews took place on Saturday at a Conservative synagogue in Jerusalem.

The bride and groom – Rivkah Nabulo, 23, and Rabbin Asiimwe, 30 – are both members of the 2,000-strong Abayudaya community, which has yet to be officially recognized by Israel.
1578341743236.png
 
The ceremony was officiated by Rabbi Andy Sacks, director of the Conservative movement’s Rabbinical Assembly in Israel and a leading advocate of the Abayudaya community.

The event “was a true demonstration of the beauty and acceptance of Jews of Uganda by the pluralistic Jewish world, whose representatives turned out to show their love and support,” Sacks told Haaretz.
 
The first-ever Israeli wedding of Ugandan Jews took place on Saturday at a Conservative synagogue in Jerusalem.

The bride and groom – Rivkah Nabulo, 23, and Rabbin Asiimwe, 30 – are both members of the 2,000-strong Abayudaya community, which has yet to be officially recognized by Israel.
View attachment 1314372
Umri wa wana ndoa umekaa vyema sana..

Kwan bwana na bibi harusi wanatakiwa wazidiane miaka mingap? Bro Shimba

Mambo ya kusema umri wa mtu sio tatzo tuweke pemben..
 
inategemea na jamii husika..
kwa mfano zenji mwanamke akivuka miaka 25 anaonekana ni bibi....
mwanamme anapaswa awe na miaka 28 -32.

tunawaza kizazi....
dah ameolewa ana miaka 25 pengine atazaa ana miaka 27....
baada ya miaka 10 atakuwa na miaka 37 na mtoto wake ana miaka 10...
atachelewa kuitwa bibi na yule atachelewa kuitwa babu....
ndio fikra za walio wengi huku zanzibar
Ila hii imekaa vyema sana bro,

Kwa umri huo, nadhan ni umri sahihi kabsa kwa watu kwenda kuanzisha maisha ya ndoa na kutengeneza familia

Hivi fikiria,mwaume aoe na umri wa miaka 30 au 35..baada ya mwaka wafanikiwe kupata mtoto,
Baada ya miaka kumi, baba atakuwa na umr wa miaka 45.mtoto ndio kwanza ana miaka 10

Unaona kabsa baba umr tayal unakuwa umeenda ili hali mtoto ndio kwanza kafikia umr wa kumhitaji baba zaidi hasa kwenye majukum mbalmbal mf.shule

Hali kubwa inayotukumba sasa hivi ni changamoto za maisha, maisha yanaenda kasi sana, kufumba na kufumbua 30 hyo bado huna kila kitu hujajipanga vizuri
 
umasikini wetu wa kimaisha na hata kifikra unapelekea wengi wetu tuingie hatua ya mwisho ya kutafuta mafanikio tukiwa ndani ya ndoa baada ya kushindwa tukiwa nje ya ndoa.... kiuhalisia ni wachache sana wanaofanikiwa kimaisha moja kwa moja wakiwa ndani ya ndoa.....

jaribu kuangalia maisha ya celebrities wa nchi zilizoendelea..
ulishawahi kumsikia jay z akilalamika kwa nini amechelewa kupata mtoto?
anajua fika hata akizeeka au akiondoka leo basi tayari ameshawatengenezea msingi imara familia yake yote.

hawazi hela ya shule
hawazi hela ya chakula
hawazi hela ya bima ya afya

umasikini wetu ndio unatufanya wengi wetu tuwe na fikra za kuoa mapema ili tupate watoto mapema watakaotusaidia huko mbeleni tutakapokuwa vizeee...
 
inategemea na jamii husika..
kwa mfano zenji mwanamke akivuka miaka 25 anaonekana ni bibi....
mwanamme anapaswa awe na miaka 28 -32.

tunawaza kizazi....
dah ameolewa ana miaka 25 pengine atazaa ana miaka 27....
baada ya miaka 10 atakuwa na miaka 37 na mtoto wake ana miaka 10...
atachelewa kuitwa bibi na yule atachelewa kuitwa babu....
ndio fikra za walio wengi huku zanzibar
 
umasikini wetu wa kimaisha na hata kifikra unapelekea wengi wetu tuingie hatua ya mwisho ya kutafuta mafanikio tukiwa ndani ya ndoa baada ya kushindwa tukiwa nje ya ndoa.... kiuhalisia ni wachache sana wanaofanikiwa kimaisha moja kwa moja wakiwa ndani ya ndoa.....

jaribu kuangalia maisha ya celebrities wa nchi zilizoendelea..
ulishawahi kumsikia jay z akilalamika kwa nini amechelewa kupata mtoto?
anajua fika hata akizeeka au akiondoka leo basi tayari ameshawatengenezea msingi imara familia yake yote.

hawazi hela ya shule
hawazi hela ya chakula
hawazi hela ya bima ya afya

umasikini wetu ndio unatufanya wengi wetu tuwe na fikra za kuoa mapema ili tupate watoto mapema watakaotusaidia huko mbeleni tutakapokuwa vizeee...
Ni kweli kabsa, mwisho wa siku tunawabebesha majukumu yasiyo yao hawa watoto..

Na hali hii inakuwa endelevu kizazi na kizazi
 
Ni kweli kabsa, mwisho wa siku tunawabebesha majukumu yasiyo yao hawa watoto..

Na hali hii inakuwa endelevu kizazi na kizazi
swadkata.....
kibaya zaidi ukutane na hizi familia za kwetu..
watoto 6 -8 wasiopishana kiumri huku kipato chako after gross unabakiwa na 10000...

utakufa kwa msongo wa mawazo
 
Back
Top Bottom