Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,950
- 236,667
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usirudie tena bana.
Nilishaacha Bradha jamani..
Hata The Don anajua
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usirudie tena bana.
Huku kwema kabisahahahahah, haya bwana.
Subiria salamu zake wakikaribia mitihani.
Siku imeendaje huko?
[emoji137][emoji137]Carbamazepine na Mishil.. Stein is waving at you
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#achanitafutedawa
#dawayakuwamkubwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji124][emoji124][emoji124]Asante sana bro!! Salute na kwako pia
Unamdanganya nani eti?[emoji848][emoji848]Kumbe???
Ila bahati mbaya Mimi ninalo itikio tu!
Sauti Kama ya wahubiri injili..inakwaruza,ngumu
Kiguu Kama chelewa kikiambatana na tege la maana
Kiuno kigumu Kama ndoo ya chuma uliyoisema huko kwenye pic yako hapo juu
Nyuma pasi ya maana
Jicho kavu Kama jua la dodoma
Sent using Jamii Forums mobile app