Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

tapatalk_1565259379506.jpeg
 
Uli Hoeness : bayern munich hatutopeleka mchezaji yeyote timu ya taifa (germany) endapo kocha mkuu joachim low atampa nafasi ter stegen kama golikipa namba 1 wa timu ya taifa ya ujerumani badala manuel neuer

unaikumbuka hii kauli ya raisi wa zamani wa klabu ya bayern munich a.k.a the bavarians...
achana na hii story
1578340638805.png
 
nipo hapa takribani masaa mawili cha kushangaza nimeshuhudia picha moja tu ya big booty....
hard drive yako ina ukubwa wa 1MB?

kuhusu urojo huku niliko kijijini mbatata zimeadimika sana...
hata chipsi zimekuwa adimu sembuse urojo?
inaonekana huko bara hizi sherehe za krismasi na mwaka mpya mulikuwa munakula sana chipsi....
zenji imefika nyakati kg 1 ya mbatata ni 1800 -2000
Huku bara mbona bado 1kg 1000
 
Back
Top Bottom