Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

The first-ever Israeli wedding of Ugandan Jews took place on Saturday at a Conservative synagogue in Jerusalem.

The bride and groom – Rivkah Nabulo, 23, and Rabbin Asiimwe, 30 – are both members of the 2,000-strong Abayudaya community, which has yet to be officially recognized by Israel.
View attachment 1314372
Ugandan Jews?

Mi nilikuwa najua kuna Ethiopian Jews kumbe walifika mpaka Uganda. Good for them ila kudharauliwa na kubaguliwa kuko pale pale tu ...
 
Umri wa wana ndoa umekaa vyema sana..


Kwan bwana na bibi harusi wanatakiwa wazidiane miaka mingap? Bro Shimba

Mambo ya kusema umri wa mtu sio tatzo tuweke pemben..
Wataalamu wanasema tofauti isizidi miaka 10 na kabisa kabisa isizidi miaka 15. Miaka mitano ndiyo perfect. Mume awe mkubwa na siyo vinginevyo !!!
 
Hili itikio hili huwa linanitikisa mpaka rohoni. Sauti taaamu halafu ukigeuka unakutana na sichana laini macho mlegezo guu guu kiuno hicho halafu ile kitu roho inapenda pwaaa halafu linaitikia tu kivivu "Abeee" kwa sauti ya puani dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
 
“Natamani mwanangu Karen awe na mahusiano na mtu mkubwa mwenye umri kama wangu ‘sugar dad’ ili amtunze, kwasababu watu wa umri wake hawawezi kumuelewa wala kumsaidia chochote, wao wenyewe wanatafuta maisha halafu umpe mzigo kama huu ataweza kulipa ‘bill’ zake”Gardner Habash.

Kuna watu walinyimwa akili aiseeView attachment 1314163View attachment 1314164

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbavu zangu...eti Kuna watu walinyimwa akili [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili itikio hili huwa linanitikisa mpaka rohoni. Sauti taaamu halafu ukigeuka unakutana na sichana laini macho mlegezo guu guu kiuno hicho halafu ile kitu roho inapenda pwaaa halafu linaitikia tu kivivu "Abeee" kwa sauti ya puani dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Kumbe???

Ila bahati mbaya Mimi ninalo itikio tu!
Sauti Kama ya wahubiri injili..inakwaruza,ngumu

Kiguu Kama chelewa kikiambatana na tege la maana

Kiuno kigumu Kama ndoo ya chuma uliyoisema huko kwenye pic yako hapo juu

Nyuma pasi ya maana
Jicho kavu Kama jua la dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe???

Ila bahati mbaya Mimi ninalo itikio tu!
Sauti Kama ya wahubiri injili..inakwaruza,ngumu

Kiguu Kama chelewa kikiambatana na tege la maana

Kiuno kigumu Kama ndoo ya chuma uliyoisema huko kwenye pic yako hapo juu

Nyuma pasi ya maana
Jicho kavu Kama jua la dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vyote ulivyosema hapa ni kinyume chake

#wahengatumeelewa
 
Kumbe???

Ila bahati mbaya Mimi ninalo itikio tu!
Sauti Kama ya wahubiri injili..inakwaruza,ngumu

Kiguu Kama chelewa kikiambatana na tege la maana

Kiuno kigumu Kama ndoo ya chuma uliyoisema huko kwenye pic yako hapo juu

Nyuma pasi ya maana
Jicho kavu Kama jua la dodoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Wala huwa sipendi jinsi ambavyo huwa unajisimanga na kuuharibu uumbaji wa Mungu. Acha mara moja !!!
Screenshot_20200106-160423~2.jpeg
 
Back
Top Bottom