Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
Screenshot_20200106-204926_Facebook.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili itikio hili huwa linanitikisa mpaka rohoni. Sauti taaamu halafu ukigeuka unakutana na sichana laini macho mlegezo guu guu kiuno hicho halafu ile kitu roho inapenda pwaaa halafu linaitikia tu kivivu "Abeee" kwa sauti ya puani dah! [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bro bro broooo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lukaku amechemka kwenye ligi ya kijanja eti, naye sasa anasifika kwa kucheka na nyavu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hat trick league ya wakulima hata wewe Binti Mpole ukipelekwa kule unaweza pata Hat-trick yako

We league mpaka lukaku Bolingoli anakimbiza ujue league hakuna huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom