Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Emu kwanza nifanye lokoo
🗑🗑🗑Hehehehe lukaku ni fire mfatilie timu ya taifa na timu aliyotoka kabla ya kwenda man u
Unafatilia pale #juventus inapocheza tu
Na mpaka dk bado nina homa sijamaliza hata dose. ..
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mcatalunya, kwema?
Huo woga ni wa nini sasa?😀😀
Unaogopa kupiga mtongozo twice/ thrice 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwa mtu mmoja mwenye ID tofautiWakuu humu mnabadilisha sana majina na utambulisho wenu, mjitahidi basi pindi mnapofanya mabadiliko mtujulishe na sisi humu ndani
Maana mpaka tumekuwa waoga sana
CW
Pole aisee, homa imeanza lini tena?Na mpaka dk bado nina homa sijamaliza hata dose. ..
.#baeAsione
Kwahiyo unataka kusemaje?
Mwaka jana mwishoni mwishoniPole aisee, homa imeanza lini tena?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaogopa kupiga mtongozo twice/ thrice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mtu mmoja mwenye ID tofauti
Mi sijasema lolote [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kwahiyo unataka kusemaje?