Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Unaogopa kupiga mtongozo twice/ thrice [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa mtu mmoja mwenye ID tofauti
😂😂😂😂😂🏃🏃Hii tafasiri si sahihi wajumbe, ustaarabu ni kutambuana nilikuwa namaanisha utambuzi wa kawaida tu
#msibadilimaanayaujumbewangu
Mcatalunya, kwema?
Huo woga ni wa nini sasa?[emoji3][emoji3]
😩 asante... Huyo Mkokaa tokea aende kuhesabiwa Ushirombo hajarudi mjini