Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Miaka mitatu iliyopita Mane alishika nafasi ya tatu. Mane anakuwa mchezaji wa pili Senegal kutwaa tuzo hiyo nyuma ya nahodha wa zamani wa timu hiyo El Hadji Diouf, aliyotwaa mwaka 2002.
Abee umeniita[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseeeh!![emoji849][emoji849][emoji849]Kaanzisheni uzi wenu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
#namtaachanatu
All the good stuff happens outside our comfort zone.
Aisee...Mshambuliaji huyo alisema Artera alichukizwa na kiwango cha wachezaji na aliwataka kuongeza kasi kupata ushindi dhidi ya timu hiyo ya daraja la kwanza.
#AdminTunakutegemea[emoji12]Hahaha!!
#adminnamiminatakayastatus[emoji124][emoji124][emoji124]
All the good stuff happens outside our comfort zone.