Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

I love this songMum I'm all grown up now
It's a brand new day
I'd like to put a smile on your face every day
Mum I'm all grown up now
And it's not too late
I'd like to put a smile on your face every day

All the good stuff happens outside our comfort zone.
Napenda sana nyimbo za huyu Maher Zain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu ya kubamba Mashairi yangu....

Kuna maeneo pale Buguruni huwa naona kotazi za police zimejengwa kwa mabati, nahisi wanaoishi mule ndani saa hii wameshakua mikaa
Hapana naona umeanza mwaka vizuri 💥


😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nacheka kama mazuri, ila jamani jua linawaka vibaya...ni heri hata jua la Dodoma haliumizi kabisa
 
Aibu ya kubamba Mashairi yangu....

Kuna maeneo pale Buguruni huwa naona kotazi za police zimejengwa kwa mabati, nahisi wanaoishi mule ndani saa hii wameshakua mikaa
Daaah!!
Kwamba sisi tunaokaa buguruni kota za polisi saiz tumegeuka mkaa??
[emoji30][emoji30]

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Back
Top Bottom