Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Napenda sana nyimbo za huyu Maher Zain

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aibu ya kubamba Mashairi yangu....

Kuna maeneo pale Buguruni huwa naona kotazi za police zimejengwa kwa mabati, nahisi wanaoishi mule ndani saa hii wameshakua mikaa
Hapana naona umeanza mwaka vizuri πŸ’₯


πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ nacheka kama mazuri, ila jamani jua linawaka vibaya...ni heri hata jua la Dodoma haliumizi kabisa
 
Aibu ya kubamba Mashairi yangu....

Kuna maeneo pale Buguruni huwa naona kotazi za police zimejengwa kwa mabati, nahisi wanaoishi mule ndani saa hii wameshakua mikaa
Daaah!!
Kwamba sisi tunaokaa buguruni kota za polisi saiz tumegeuka mkaa??
[emoji30][emoji30]

All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…