Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siamini na wewe unamuunga mkono...[emoji26][emoji26][emoji26]
Kosa ni lako. Ukipotea sana kwenye uzi huu mabaharia wanaanza kuwa na wasiwasi. Jikite hapa wakuzoee mpaka waondoe wasiwasi wa mara sijui parody mara sijui nini...

Na kama hujui mimi ndiye mtunza kumbukumbu hapa. Wewe na mfilisti tayari nimeshawaingiza kwenye kitabu chetu. Msituangushe [emoji1545][emoji1545]
 
hakika alichokiunganisha SHIMBA YA BUYENZE hakuna wa kukitenganisha

#nao_yu_mei_pronausi_asi_ezi_hazbandi_endi_waifu
 
Nimejiuliza sana....imekuaje ukahamisha majeshi. [emoji28][emoji28][emoji28]
Ayyana, Ayyana, Ayyana. Zamani ulikuwa unatumia ID gani? Au ni prof wetu umerudi kivingine? Kauli hii siyo ya mtu mgeni hii kha!

Nimehamisha majeshi sababu ya uhenga. Matrella yale yanataka uwe na nguvu sana japo nilikuwa nshayajulia. Nimejaribu hivi vimbaumbau yaani hadi raha. Hakuna maumivu ya mwili wala mbavu yaani. Na sirudi tena Egypt ng'o !!!
 
ha ha kumbe bro na wewe umeona hio kontradiksheni hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…