Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1578497017421.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna maji huko. Maisha yatakuwa ya hati hati sana. Kuna ukosefu wa maji. Hewa ya Oksijeni. Vyakula. Vipingamizi ni vingi japo wanasema pengine itawezekana wakiweza kujenga mitambo ya kuzalisha maji, hewa na mifumo ya kuzalisha vyakula. Mars inafaa kama kituo tu cha kwenda hukooo mbali kwenye sayari rafiki kama itagundulika siku moja. Kwa sasa ni kubanana hapa hapa na makombora haya ya nyuklia ambayo kichaa mmoja akiamua kuyaripua basi tunatekezana wote.

Mi naomba tu Masihi arudi ili watu twende zetu akhera tukale raha zetu za milele [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Masihi aje ukale raha wapi?
Kule hakuna haya mambo.
Aendelee kuchelewa tu tuendelee kuondoka kwa zamu
tapatalk_1578336702763.gif


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kosa ni lako. Ukipotea sana kwenye uzi huu mabaharia wanaanza kuwa na wasiwasi. Jikite hapa wakuzoee mpaka waondoe wasiwasi wa mara sijui parody mara sijui nini...

Na kama hujui mimi ndiye mtunza kumbukumbu hapa. Wewe na mfilisti tayari nimeshawaingiza kwenye kitabu chetu. Msituangushe [emoji1545][emoji1545]
👍 👍
 
Back
Top Bottom