Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

.
FB_IMG_1578575338428.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
baada ya kula nadhani ntahitaji chakula flani cha kutia nguvu sio kigumu sana kama kule kwa akina ze don pia kisiwe laini kama urojo wa kule zenji kwa akina Daemusin

#chakula flani cha kipwani
huu ni mwaka 2020 mzee wa Var.... ina maana bado unaendeleza kharamu yako ya kunywa na kula urojo...
unakunywa maji ya urojo + unatafuna vilivyomo ndani ya urojo..
mungu akupe nini tena pindi unapokataa msosi kama huo muhuni wewe
labda akupe akili za mashabiki wa liverpool (kelele nyingi kama bata mzinga lakini hawana kombe la premier league kwa miaka 28)
​
kachori
mishikaki
bagia za kunde au dengu
chipsi za muhogo
salad
katlesi ziwe za mbatata au mayai.
ongeza na maji ya urojo
pembeni yako una juisi kama una uwezo kama huna tafuta kopo la maji ya chai yasiokuwa na sukari unywe
chapati/ mkate/ maandazi

unakosaje mchanganyiko kama huu mzee wa VAR?
1578575790263.png
 
Back
Top Bottom