Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Liverpool last won the top English league in the 1989/90 season under Kenny Dalglish.
1578576112576.png


enzi hizo wachezaji walikuwa wanafuga sharubu kama steringi wa kihindi...
akshay kumar
suniel shetty
sunil deo
amrish puri
amitta bhacchan
 
chanzo JF:
Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!

yupo anayemiliki softcopy ya kitabu hiki?
Kaptula la Marx,
 
Masihi aje ukale raha wapi?
Kule hakuna haya mambo.
Aendelee kuchelewa tu tuendelee kuondoka kwa zamuView attachment 1317152

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Nikale raha ya milele kwenye kuimba na kuabudu 24/7....japo huwa naitamani tamani ile akhera nyingine ya mabikra 72. Haya mambo we acha tu aisee. Hufai [emoji16][emoji16][emoji16]
 
chanzo JF:
Mwandishi Nguli wa Kazi za Fasihi ya Kiswahili Prof. Euphrase Kezilahabi amefariki dunia. Tutamkumbuka Kezilahabi kwa kazi zake kama Rosa Mistika, Uwanja wa Fujo, Kaptula la Marx, Nagona na Mzingile! Alitetea Mashairi ya Kisasa!

yupo anayemiliki softcopy ya kitabu hiki?
Kaptula la Marx,
Oh no!

Pigo kubwa kwa Fasihi ya Kiswahili. Wengi wanamtambua huyu kama Shaaban Robert wa pili katika Fasihi ya Kiswahili.

Poti pole sana kwa kuondokewa na huyu shujaa. RIP Mwalimu na Mwanafalsafa mbobevu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Oh no!

Pigo kubwa kwa Fasihi ya Kiswahili. Wengi wanamtambua huyu kama Shaaban Robert wa pili katika Fasihi ya Kiswahili.

Yegomasika pole sana kwa kuondokewa na huyu shujaa. RIP Mwalimu na Mwanafalsafa mbobevu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
upande wa chama tawala wanasemaje kuhusiana na kifo cha huyo nguli nisiyemfahamu kwa sababu ya uvivu wangu wa kujifunza?

nilisikia kitabu chake kilipigwa marufuku na wenye mji wao
 
Back
Top Bottom