Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
😂😂😂 ntajitahid kubadilika huyu mke niliyeoa Ayyanna ni kiboko kwenye mapishi atanipikia urojo bora kabisahuu ni mwaka 2020 mzee wa Var.... ina maana bado unaendeleza kharamu yako ya kunywa na kula urojo...
unakunywa maji ya urojo + unatafuna vilivyomo ndani ya urojo..kachori
mungu akupe nini tena pindi unapokataa msosi kama huo muhuni wewe
labda akupe akili za mashabiki wa liverpool (kelele nyingi kama bata mzinga lakini hawana kombe la premier league kwa miaka 28)
mishikaki
bagia za kunde au dengu
chipsi za muhogo
salad
katlesi ziwe za mbatata au mayai.
ongeza na maji ya urojo
pembeni yako una juisi kama una uwezo kama huna tafuta kopo la maji ya chai yasiokuwa na sukari unywe
chapati/ mkate/ maandazi
unakosaje mchanganyiko kama huu mzee wa VAR?
View attachment 1317238
hongera kwa kufunga ndoa mzee wa VAR.......😂😂😂 ntajitahid kubadilika huyu mke niliyeoa Ayyanna ni kiboko kwenye mapishi atanipikia urojo bora kabisa
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nikale raha ya milele kwenye kuimba na kuabudu 24/7....japo huwa naitamani tamani ile akhera nyingine ya mabikra 72. Haya mambo we acha tu aisee. Hufai [emoji16][emoji16][emoji16]
Amen. Fikisha salamu kwa wapwa na mama yao [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1][emoji1][emoji1]
Heri ya mwaka mpya shemeji. Mungu aendelee kutulinda na kutupatia hata tusicho kiomba kwake
Sent using Jamii Forums mobile app