Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Tottenham wamejiunga kwenye mbio za kutaka kumsaini mshambuliaji wa AC Milan na Poland Krzysztof Piatek, 24, huku Milan wakitaka dau la pauni milioni 30. (Guardian)
asante sana bro, tunatarajia kuja kula fungate huko visiwanihongera kwa kufunga ndoa mzee wa VAR.......
kabla ya kwenda ofisini itapendeza zaidi kama atakuandalia bakuli la urojo huyo mrembo kutoka chato FM
ha ha ha huyu jamaa na chai yake ya kagerakamanda dotto imeliii from twitteri
View attachment 1317333
nawakaribisha lakini kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yakeasante sana bro, tunatarajia kuja kula fungate huko visiwani
hawa jamaa wamezidi ubahili, inabidi FA wawalazimishe watumie pesa sasaArsenal haitarajiwi kufanya usajili wa moja kwa moja mwezi Januari na badala yake watajikita kwenye mikopo. (Goal)
kumbe unamuelewa na kiswahili chake cha ajabu ajabu...ha ha ha huyu jamaa na chai yake ya kagera
usipo soma kwa makini tweets zake huambulii kitukumbe unamuelewa na kiswahili chake cha ajabu ajabu...
anapaswa akutanishwe na faiza fox