Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Eti kwapa likatema. Jamani [emoji16][emoji16][emoji16]Wataweza ndio maana wametumia nguvu ya social media ili wakipata vikwazo familia ilaumiwe. Social media ni ngao kwao.
Sana kuwa na damu nyeusi kumemponza. Juzi kavaa ka blaus ee bana kwapa likatema ikaonekana wacha amwagiwe maneno ya kejeli mitandaon
Mungu Amsaidie aisee. Wazungu ni wabaguzi sana na ni lazima watakuwa wameumia sana damu nyeusi kuingia katika royal family. Angekuwa mweusi kama dada zangu wa Sudan ya Kaskazini sijui ingekuwaje...