Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


wengine wanawaza kuacha betting
wengine wanataka kuacha ulevi
wengine wanataka kuacha kujichua



daemusin anataka kuacha kuangalia wakorea.....
09/1/2020.... nimetimiza siku ya 9 bila ya kuangalia wakorea na sinema zao
 
ha ha ha hizo porojo ni mimi na wewe, mke wangu kaa naye mbali

#ndoa_iheshimiwe_na_watu_wote
teh teh
bora ulivyoniachia ukumbusho...... nikishagonga vibakuli vitatu vya urojo huwa sichagui mke wala hawara...
nachanganya kama baiskeli ya raleigh
1578583905938.png
 

wengine wanawaza kuacha betting
wengine wanataka kuacha ulevi
wengine wanataka kuacha kujichua



daemusin anataka kuacha kuangalia wakorea.....
09/1/2020.... nimetimiza siku ya 9 bila ya kuangalia wakorea na sinema zao
itapendeza sana kama utaachana na huo uraibu wa kuangalia wakorea
 
Back
Top Bottom