Ayyanna
JF-Expert Member
- Jan 5, 2020
- 397
- 2,648
Jamani mimi mgeni. Ila msomaji mzuri sana hapo nyuma.
Wewe na mapicha yako hakuna asiyekufahamu nje na ndani ya JF.
Naona mwaka mpya na ladha mpya.
Wewe na mapicha yako hakuna asiyekufahamu nje na ndani ya JF.
Naona mwaka mpya na ladha mpya.
Ayyana, Ayyana, Ayyana. Zamani ulikuwa unatumia ID gani? Au ni prof wetu umerudi kivingine? Kauli hii siyo ya mtu mgeni hii kha!
Nimehamisha majeshi sababu ya uhenga. Matrella yale yanataka uwe na nguvu sana japo nilikuwa nshayajulia. Nimejaribu hivi vimbaumbau yaani hadi raha. Hakuna maumivu ya mwili wala mbavu yaani. Na sirudi tena Egypt ng'o !!!