Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani mimi mgeni. Ila msomaji mzuri sana hapo nyuma.
Wewe na mapicha yako hakuna asiyekufahamu nje na ndani ya JF.
Naona mwaka mpya na ladha mpya.
 
Nitajitahidi kusimamia nafasi yangu.
Lakini mfilisti aliweka wasiwasi mapema sana, kidogo nikimbie uzi.
Taratibu naona ameanza kunielewa.
 
Jamani mimi mgeni. Ila msomaji mzuri sana hapo nyuma.
Wewe na mapicha yako hakuna asiyekufahamu nje na ndani ya JF.
Naona mwaka mpya na ladha mpya.
Asante kwa ufafanuzi.

Na karibu sana katika uzi wetu huu uliojaa upendo na amani. Jisikie huru kabisa...

Ni mimi mtunza kumbukumbu wa uzi

Ngosha The Don
 
Hili nalifahamu kabisa. Ukarimu wako hauishii jukwaani tu [emoji6][emoji6][emoji6]
Kaka umeozesha bila mahari mbona?

Asante kwa ufafanuzi.

Na karibu sana katika uzi wetu huu uliojaa upendo na amani. Jisikie huru kabisa...

Ni mimi mtunza kumbukumbu wa uzi

Ngosha The Don
View attachment 1317091
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…