Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji16][emoji16][emoji16]
464134689_386765.jpeg
 
Vitabu vyake vyote vimeshachapwa upya na vinapatikana katika maduka mengi. Sema tu wizi wa Kibongo Bongo hii unaweza kuta mwandishi mwenyewe wala hafaidiki na cho chote.
ni kama vitabu vya A. E. MUSIBA nlikuta pale maeneo ya ubungo jamaa wanaviuza hadi kwa 4,000/= na havina hata jina la publisher
 
Mapenzi yanalugha ya ajabu sana. wakati unapoweza kumjibu rafiki yako “poa tu” na isilete matatizo ila katika mapenzi hapa kuna tatizo. Hapo mwenzako anaweza kuhisi umekasirika, anaweza kudhani sasa hivi humuheshimu kama zamani – ilmradi tu. Hapo ndipo mapenzi yanapohitaji nafasi zaidi.
 
Back
Top Bottom