Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

463503995_378105.jpeg
 
Alikuwa mwandishi mzuri sana huyu jamaa. Basi tu ni kwa vile kila mtu ni lazima afe...

Unacho soft copy hiki?
hapana bro hivi vitabu ni ngumu sana kupata hata hard copy yake maana publishers wake hawatoi tena.

Labda kama kuna aliyejitolea kuviweka kwenye mfumo wa soft copy.

Familia ingelifikiria hili huenda kipindi kama hiki wangeweza kuuza copy nyingi sana za vitabu vyake hasa hizi hard copy
 
Vitabu vyake vyote vimeshachapwa upya na vinapatikana katika maduka mengi. Sema tu wizi wa Kibongo Bongo hii unaweza kuta mwandishi mwenyewe wala hafaidiki na cho chote.
 
Back
Top Bottom