Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1578591304319~2.jpeg
 
Tumeona
Ni kama vile
Davet na The Happiness
ningendako na Depal
Hata yule aliyeoa leo
Ila hao wote

#wataachanatu[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]

All the good stuff happens outside our comfort zone.
Kama mkatalunya na mwenyekiti wa TRM.. Wakipostiana zile dedication huwa wanaona maisha wameyapatia sana [emoji23][emoji23]

Mapenz zaid ya Romeo n Juliet..[emoji23]
 
Kama mkatalunya na mwenyekiti wa TRM.. Wakipostiana zile dedication huwa wanaona maisha wameyapatia sana [emoji23][emoji23]

Mapenz zaid ya Romeo n Juliet..[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna kapo ilitaka kujimilikisha uzi kisa tu wanataka wajimwambafai humu eti wanapendana[emoji23][emoji23][emoji23]

#mmoja wao keshatekwa
#wanajionamaishawameyapatia


All the good stuff happens outside our comfort zone.
 
Back
Top Bottom