D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Am Mishilwho are you?
nimetumia ingilishi ya professa ndalichako
from shilla?
siku mbili tatu hizi kabanwa sana na huyo bibie sioni kabisa mapicha ya lile litimu libovu ambalo lina miaka 30+ bila EPLndugu yake alioa mwanamke wa kizanzibari miaka 25 iliopita..
basi mpaka leo anatumwa urojo kwa hamadi mpemba...
itakuwa kapewa limbwata ya kizenji....siku mbili tatu hizi kabanwa sana na huyo bibie sioni kabisa mapicha ya lile litimu libovu ambalo lina miaka 30+ bila EPL
Sijawahi ona watu wanatongozana kama kuku mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo Poa, uzima upo ila nimemis Uono JamaniSafi TH.. mambo vp?mzima wewe?
#naonatayali
#umeshafanyayako
#utekaji
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushafika hivyo na mitambo yako ya TRMSijawahi ona watu wanatongozana kama kuku mimi[emoji23][emoji23][emoji23]
mfilisti[emoji125][emoji125][emoji125]
All the good stuff happens outside our comfort zone.
hahahahahah, hebu fafanua kidogo bro.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] walimu wana Kazi sana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ushafika hivyo na mitambo yako ya TRM
#KashakuwaWifi[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app